
Alikuwa ni Javier Hernandez 'Chicharito' ambaye alifunga goli la ushindi kwa upande wa Man United katika pambano kali na la kusisimua huku mechi ikiisha kwa ushindi wa Man United wa magoli 3-2.David Luiz alijifunga kwa upande wa Chelsea kabla ya Robin Van Persie kufunga goli la pili dakika ya 12.Chelsea walikuja juu sana kusawazisha magoli hayo kupitia kwa wachezaji Juan Mata dakika ya 44 na Ramires katika dakika ya 53.Chicharito akiingia kipindi cha pili alifunga goli la ushindi kwa Man United na hivyo kufanya matokeo kuwa 3-2
0 comments:
Post a Comment