Quintel Blogger theme

A free Premium Blogger theme from newbloggerthemes.com

Sunday, October 21, 2012

EDIN DZEKO SHUJAA WA MAN CITY

Turnaround: Edin Dzeko celebrates his second goal
Akitokea tena bechi kama mchezaji wa akiba,mshambuliaji Edin Dzeko alizidi kumwonesha kocha wake Roberto Mancini umuhimu wake kunako kikosi hicho cha Man City kwa kufunga magoli mawili katika kipindi cha pili na kuiwezesha klabu ya Man City kushinda kwa magoli 2-1.Edin Dzeko alifunga magoli hayo kunako dakika za 80 na 90 akisawazisha goli la mapema la mshambuliaji wa W.B.A Shane Long.

0 comments:

Post a Comment