
Klabu ya Chelsea ilionja joto ya jiwe mara baada ya kukubali kipigo cha magoli 2-1 mbele ya vijana wa Mircea Lusescu klabu ya Shakhtar pambano likipwa pale Don Bass Arena.Magoli ya Shakhtar yalifungwa na kiungo mshambuliaji Alex Texteira na Fernandinho huku Oscar akifunga kwa upande wa Chelsea.



0 comments:
Post a Comment