
Magoli mawili ya Javier Hernadez Chicharito na lingine la mlinzi Johnny Evans yalitosha kuipa klabu ya Man United ushindi wa magoli 3-2 dhidi ya timu ngumu toka Ureno ya Braga katika michuano ya Klabu Bingwa Ulaya.Braga walioanza pamabno hilo kwa kasi walipata magoli yake kupitia kwa nahodha wake Alan katika kipindi cha kwanza.

0 comments:
Post a Comment