Quintel Blogger theme

A free Premium Blogger theme from newbloggerthemes.com

Monday, October 15, 2012

CARZOLA:NACHOFANYA NI KUIGA ANACHOFANYA INIESTA

Santi Cazorla
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Arsenal Santiago Carzola au Mtakatifu Carzola amesema kuwa mambo mengi anayofanya uwanjani na nje ya uwanja ni kutokana na yeye kumkodolea macho kiungo wa hodari wa Barcelona Andres Iniesta.Akizungumza katika mahojiano maalum Carzola anasema kuwa "Iniesta ndiye kipimo changu kutokana na soka analocheza katika klabu yake au timu ya taifa.Muda mwingine ni vigumu kufanya yote anayofanya uwanjani lakini litakuwa jambo bora sana  kama nitakuja kucheza naye timu moja hasa ya taifa kwa maana ya timu ya Hispania.

0 comments:

Post a Comment