
Baada ya kutolewa uwanjani na nafasi yake kuchukuliwa na Kun Aguero,mchezaji mtukutu Super Mario Balotelli aliondoka kwa hasira uwanjani na masaa machache baadaye kamera zilimnasa akiwa uwanja wa ndege akiondoka kurudi nchini Italia.

Hakuna sababu maalum mpaka sasa ya yeye kufanya hivyo mpaka sasa ila tukio hilo linachukuliwa kama mwendelezo wa vituko vyake uwanjani na nje ya uwanja.
0 comments:
Post a Comment