Quintel Blogger theme

A free Premium Blogger theme from newbloggerthemes.com

Sunday, September 23, 2012

VAN PERSIE APELEKA KILIO ANFIELD


Spot on: Van Persie converts a late penalty to give United the victory over their fierce rivals
Van Persie akifunga goli kwa penati
 Alikuwa ni Robin Van Persie aliyeihakikishia ushindi klabu ya Man United mara baada ya kuifungia klabu yake ya Man United goli la ushindi katika pambano dhidi ya mahasimu wao klabu ya Liverpool.Liverpool walikuwa wa kwanza kupata goli kupitia nahodha wake Steven Gerald katika dakika ya 46 kabla ya beki wa kulia wa Man United Rafael kusawazisha dakika 51.
Kop that: Gerrard kissed the badge as he wheeled away to celebrate his goal
Robin Van Persie alifunga goli la pili katika dakika ya 81 kupitia mkwaju wa penati baada ya winga Antonio Valencia kuangushwa na beki Glen Johnson katika eneo la hatari.
Man United ilishinda magoli 2-1.
Flying away: Van Persie celebrates as Gerrard looks dejected at the final whistle

0 comments:

Post a Comment