
Ilikuwa ni sare ya 1-1 ambayo ilipatikana katika uwanja wa Etihad Stadium kati ya Manchester City dhidi ya Arsenal.Pambano lilikuwa la kusisimua sana kwani mechi ilikuwa ya wazi sana na kila timu ilionesha kujiandaa vyema kwa kupeleka mashambulizi kwa kila upande lakini mpaka mwisho wa mchezo mwamuzi Mike Dean anapuliza kipenga pambano liliisha kwa sare ya magoli 1-1.

Goli kwa upande wa Man City lilifungwa na Jeleon Lescott dakika ya 40 kabla ya Laurent Koscielny kusawazisha katika dakika ya 82.
Matokeo mengine.
- Final
![]() | |
0 comments:
Post a Comment