Quintel Blogger theme

A free Premium Blogger theme from newbloggerthemes.com

Sunday, September 23, 2012

MILAN WAPOTEZA TENA SERIE A


 

Kama kuna kocha ambaye amekalia kuti kavu katika jiji la Milan basi ni kocha wa AC Milan Massimiliano Allegri.Katika pambano lililopigwa pale Estadio Friuli leo, klabu ya Udinese Calcio imeifunga klabu ya AC Milan kwa magoli 2-1.Magoli ya Udinese yalifungwa na Mathias Renegie dk ya 40 kabla ya nahodha Antonio Di Natale kufunga kwa mkwaju wa penati dk ya 68.Goli la Milan lilifungwa na Stephen El Shaawary katika dk ya 54.
Matokeo mengine ya Serie A
 

0 comments:

Post a Comment