
Barcelona wamejikusanyia pointi tatu muhimu mara baada ya kuifunga timu ya CSKA Moscow kwa magoli 3-2.Alikuwa ni Lionel Messi aliyeibuka shujaa wa mechi hiyo mara baada ya kufunga magoli mawili peke yake.Messi alifunga magoli hayo katika dakika za 72 na 80 huku kinda Tello naye akifunga katika dakika za mapema kabisa dakika ya 14.Magoli ya CSKA yalifungwa na Romulo dk ya 59 na lingine lilikuwa la kujifunga la beki Dani Alves katika dakika ya 29.
Matokeo mengine yalikuwa km ifuatavyo:
0 comments:
Post a Comment