 |
Bondia Amir Khan kushoto,shabiki na Balloteli |
Haya ni maneno ya kocha Roberto Manchini kwa mchezaji wake Super Mario Balloteli mara baada ya kocha huyo kuchoshwa na tabia ya mchezaji huyo ambaye kila kukicha aachi vituko.Balloteli aliachwa katika kikosi cha Man City kilichocheza na Real Madrid juzi usiku kutokana na tukio la hivi karibuni la kukesha usiku kucha baada ya mechi dhidi ya Stoke City Jumamosi iliyopita akiwa katika klabu ya usiku jijini Manchester pamoja na bondia maarufu wa nchini Uingereza Amir Khan.Kocha Manchini alimpa adhabu ya kutocheza mechi ya Klabu Bingwa Ulaya na alimwamuru kusafiri na timu kwenda Bernabeu.
0 comments:
Post a Comment