Quintel Blogger theme

A free Premium Blogger theme from newbloggerthemes.com

Wednesday, September 12, 2012

KARAGOUNIS ATUA FULHAM.



 Fulham wamefanikiwa kumsajili kiungo Karagounis mpaka mwishoni mwa msimu akiwa huru baada ya makataba wake na timu ya Panathinaikos kumalizika.Nahodha huyo wa Ugiriki akiongea baada ya kujiunga na timu hiyo anasema"nafurahi kujiunga na Fulham na changamoto mpya ya Bacrays English Premier.Kwa upande wa Martin Jol akimzungumzia Karagounis anasema ni mchezaji wa kiwango cha hali ya juu na uzoefu wa kutosha na ana hadhi na thamani ya Fulham.Karagounis ameshawahi pia kuvichezea vilabu vya AC Millan na Benfica
















0 comments:

Post a Comment