
Sunday, September 2, 2012
JUVENTUS YAENDELEZA UBABE SERIE A
Posted on 11:35 AM by Unknown
Klabu ya Juventus imeendeleza ubabe katika Serie A mara baada ya kuifunga timu ya Udinese Calcio magoli 4-1.Pambano hilo lilipigwa Stadio Friuli lilishuhudia magoli ya Juventus yakifungwa na Artulo Vidal,Mirko Vucinic na Sebastian Giovinco(2).Goli la Udinese likifungwa na mshambuliaji Andrea Lazzari.

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment