Klabu ya Bayern Munich maarufu kama 'The Bavarians'imefanya mauaji katika Ligi Kuu ya soka nchini Ujerumani (Bundesliga)mara baada ya kuifunga timu ya VFB Stuttgart magoli 6kwa 1.Magoli ya Bayern yalifungwa na Thomas Müller (2), Toni Kroos, Luis Gustavo, Bastian Schweinsteiger na Mario Mandzukic.
Katika pambano hilo nyota wa mchezo alikuwa Thomas Muller.
0 comments:
Post a Comment