Klabu ya Chelsea imejikuta katika wakati mgumu mara baada ya kukubali sare ya magoli 2-2 dhidi ya klabu ya Juventus toka nchini Italia.Ilikuwa ni siku ya kinda wa Kibraziri Oscar ambaye alipachika mabao yote mawili kwa upande wa Chelsea huku Juventus wakisawazisha kupitia kwa kiungo wake shupavu Arturo Vidal pamoja na mshambuliaji aliyeingia kipindi cha pili Fabio Quagrallera.
0 comments:
Post a Comment