Quintel Blogger theme

A free Premium Blogger theme from newbloggerthemes.com

Saturday, September 15, 2012

ARSENAL YAIPA KIPIGO SOUTHAMPTON


 The floodgates open: Jos Hooiveld pokes into his own net
 Klabu ya soka ya Arsenal imeifanyia mauaji klabu ya Southampton baada ya kuifunga jumla ya magoli 6-1.Katika pambano hilo lililopigwa uwanja wa Emirates,lilimshuhudia mchezaji wa Arsenal Gervinho akifunga magoli mawili kati ya Sita yaliyofungwa na wachezaji wengine wa Arsenal.Magoli ya Gervinho yalipatikana katika dakika za 35 na 71,huku magoli mengine yakifungwa na Hooiveld kunako dk ya 11,Podolski dk 31,goli la kujifunga la Cylne katika dk ya 37 na Theo Walcot dk 88.Goli la Southampton lilifungwa na Fox katika dk ya 45.
Arsenal: Szczesny, Jenkinson, Mertesacker, Vermaelen, Gibbs, Coquelin (Ramsey 67), Arteta, Oxlade-Chamberlain, Cazorla, Podolski (Giroud 74), Gervinho (Walcott 74). Subs not used: Mannone, Koscielny, Andre Santos, Arshavin.
Scorers: Hooiveld (og) 11, Podolski 31, Gervinho 35, 71, Clyne (og) 37, Walcott 88.
Southampton: Kelvin Davis, Clyne, Hooiveld (Yoshida 28), Fonte, Fox, Puncheon, Ward-Prowse, Schneiderlin, Steven Davis (Ramirez 45), Lallana, Lambert (Rodriguez 76). Subs not used: Gazzaniga, Richardson, Mayuka, Chaplow.

Influential: Gervinho hit two and was at the heart of much of Arsenal's attacking guile

0 comments:

Post a Comment