 |
Yanga |
Klabu bingwa ya Afrika mashariki na kati (Yanga) inaondoka leo kuelekea nchini Rwanda kwa kuitikia wito wa Rais wa Rwanda Paul Kagame.Akizungumzia safari hiyo,mwenyekiti wa Yanga Yusuphu Manji anasema kuwa klabu itaondoka na wachezaji wote waliosajiriwa na klabu hiyo pamoja na baadhi ya viongozi kuelekea Rwanda.Yanga wanatarajiwa kukaa Rwanda kwa wiki moja na wanategemewa kucheza mechi za kirafiki na vilabu vya APR,Polisi na Rayon.
0 comments:
Post a Comment