Quintel Blogger theme

A free Premium Blogger theme from newbloggerthemes.com

Tuesday, August 21, 2012

CASSANO KWENDA INTER HUKU PAZZIN AKIENDA AC MILAN

Pazzin
Cassano
Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya habari duniani,vilabu vya AC Milan na Inter Milan vinaweza kundelea na utamaduni wao wa kubadilishana wachezaji ambao ulianzaa muda mrefu.Mshambuliaji Antonio Cassano anaweza kujiunga na klabu ya Inter Milan akitokea AC Milan huku likiwa ni dili litakalohusisha pia mabadilishano ya mchezaji Giampaolo Pazzin kutoka Inter Milan kwenda klabu ya AC Milan.

0 comments:

Post a Comment