Quintel Blogger theme

A free Premium Blogger theme from newbloggerthemes.com

Saturday, August 25, 2012

USAJIRI WA VILABU ULAYA WAENDELEA

Matt Jarvis atua West Ham
Cesar Azpilicueta ajiunga na Chelsea
Victor Moses naye kutua Chelsea kwa Euro 9m
Steven Fletcher akiwa na uzi wa Sunderland
Zikiwa zimebaki siku 6 tu kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajiri,vilabu barani ulaya na ulimwenguni kwa ujumla vimeendelea na pilika pilika za usajiri wa wachezaji mbalimbali toka katika vilabu tofauti.
Adam Johnson akiwa na uzi wa Sunderland

0 comments:

Post a Comment