 |
Di Maria kazini |
 |
Ronaldo na Higuain |
Klabu ya Real Madrid ilijikuta katika wakati mgumu mara baada ya kuanza kwa sare katika mchezo wake dhidi ya Valencia katika Ligi Kuu ya soka nchini Hispania maarufu kama La Liga.Madrid walipata sare ya goli 1-1 dhidi ya Valencia huku Gonzalo Higuain akianza kuifungia Madrid katika dk ya 10 na Valencia walisawazisha katika dk 42 kupitia Jonas.
0 comments:
Post a Comment