Quintel Blogger theme

A free Premium Blogger theme from newbloggerthemes.com

Monday, August 20, 2012

EDEN HAZARD AANZA KAZI CHELSEA



Akicheza kwa mara ya kwanza katika mchezo wa Ligi Kuu,mchezaji mpya wa Chelsea Eden Hazard alionesha thamani yake ya fedha ya hela za ulaya(euro 32m) katika mechi ya jana ambapo Chelsea walicheza na Wigan.Hazard alitoa pasi ya goli la kwanza dk 2 lililofungwa na Ivanovic na pia alisababisha penati dk 8 iliyofungwa na Frank Lampard.Chelsea iliifunga Wigan magoli 2-0.

0 comments:

Post a Comment