Monday, August 20, 2012
PSG WASHIKWA SHATI TENA WATOA SARE NA AJACCIO
Posted on 6:03 AM by Unknown
Timu ya PSG ya nchini Ufaransa imeendelea kusuasua katika Ligi Kuu ya soka nchini humo maarufu kama Ligue 1 baada ya kulazimishwa sare na timu ya Ajaccio.Sare ilikuwa ya bila kufungana(0-0).
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment