Monday, August 20, 2012
MAN UTD WAKARIBIA KUNASA KIFAA KINGINE
Posted on 5:38 AM by Unknown
Baada ya kumpata mshambuliaji Robin Van Persie hatimaye klabu ya Man Utd inakaribia kumnasa mchezaji mwingine Alexander Buttner toka klabu ya Vitesse Arnhem's inayoshiriki Ligi Kuu ya nchini Uholanzi maarufu kama 'Eredivisie'.Mchezaji huyo ameshaichezea klabu ya Vitesse jumla ya mechi 107 na kufunga magoli 10.Ana uwezo wa kucheza kama beki wa kushoto na pia kama winga.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment