Quintel Blogger theme

A free Premium Blogger theme from newbloggerthemes.com

Sunday, August 12, 2012

NI MANCHESTER CITY......KATIKA NGAO YA HISANI

MAN CITY vs CHELSEA

WAFUNGAJI 
MAN C; YAYA TOURE 53,TEVEZ 59,NASRI 65
CHELSEA;TORRES 40,RYAN BERTRAND 79

Goli la tatu la Man City raha ya ushindi hiyo
Hali Mbaya Kwa Chelsea becki wao Ivanovich akionehswa kadi nyekundu baada ya kucheza rafu mbaya.
Mbingwa wapya wa Ngao ya Jamii wakisherekea mafanikio na utawala mpya wa jiji la Manchester.

0 comments:

Post a Comment