![]() |
Claudio Marchisio |
![]() |
Pirlo na wachezaji wenzake wakishangilia ushindi |
Klabu ya Juventus jana ilianza vyema Ligi ya serie A kama bingwa mtetezi baada ya kuifunga klabu ya Parma kwa magoli 2-0.Magoli ya Juve yalifungwa na Andrea Pirlo na Stefan Lichesteiner.
Na wakati huohuo kocha wa Fiorentina Vincenzo Montella alianza vyema kama kocha mpya wa Fiorentina baada ya kuiongoza klabu hiyo maarufu kama Viola kuifunga Udinese magoli 2-1 pale Estadio Artemio Franchi.
![]() | ||||
Vicenzo Montella |
![]() |
Kikosi cha Fiorentina |
0 comments:
Post a Comment