 |
Sahin akiwa na kocha wa Liverpool Brendan Rodgers |
 |
Nuri Sahin |
Klabu ya Liverpool imemaliza utata wa mchezaji Nuri Sahin baada ya kufanikiwa kumchukua toka Real Madrid kwa mkopo wa mwaka mmoja.Mchezaji huyo aliyekuwa akihusishwa na vilabu vingine kama Arsenal,Ac Milan na Tottenham amemaliza utata kwa kujiunga na klabu ya Liverpool na kukabidhiwa jezi namba Nne.
0 comments:
Post a Comment