Quintel Blogger theme

A free Premium Blogger theme from newbloggerthemes.com

Monday, August 20, 2012

NASRI AWAPA ZAWADI YA EID MUBARAK MAN CITY

Eid Mubarak
Wakiikaribisha klabu ya Southampton kwa mara nyingine baada ya kipindi kirefu cha takribani miaka saba tangu washiriki Ligi Kuu nchini Uingereza(2005),klabu ya Man City maarufu kama 'The Citizen'iliifunga klabu ya Southampton 'The Saints'kwa jumla ya magoli 3-2.
Magoli ya City yalifungwa na Carlos Tevez dk 40,Edin Dzeko 72 na Samir Nasri dk 80 huku magoli ya Southampton yakifungwa na Rickie Lambert dk 59 na Steven Davis dk 68.

  NYOTA WA MCHEZO- SAMIR NASRI (Man City)
Vikosi 
MAN CITY: Hart 6, Zabaleta 6, Kompany 6, Lescott 6, Clichy 6, Silva 6 (Balotelli 6), Rodwell 5, Y Toure 7, Nasri 8, Aguero 5 (Dzeko 7), Tevez 7 (Kolarov 5). Subs not used: Pantilimon, Milner, Savic, De Jong. Booked: Nasri.
SOUTHAMPTON: K Davis 7, Clyne 6, Fonte 6, Hooiveld 7, Fox 5, Ward-Prowse 6 (S Davis 7), Lallana 7, Schneiderlin 6, Puncheon 5 (Sharp 5), Rodriguez 5 (Lambert 7), Do Prado 6. Subs not used: Gazzaniga, Richardson, Shaw, Seaborne. Booked: Fox, Schneiderlin.

0 comments:

Post a Comment