NI
MSIMU MPYA WA SERIE A 2012/2013.
Ni zaidi ya miezi mitatu tangu
tushuhudie klabu ya Juventus ikitawazwa kuwa mabingwa wapya wa Ligi Kuu ya soka
nchini Italia maarufu kama Serie A chini ya kocha Antonio Conte.Msimu mpya wa
serie A unakuja(unaanza leo) huku kukiwa na matukio mabalimbali katika soka la
Italia ambayo kwa kiasi kikubwa yataipa changamoto Ligi hiyo.Tukio la kwanza ni
kashfa ya upangaji matokeo ambalo kwa kiasi kikubwa lilivuta hisia za wapenzi
wengi wa kabumbu ndani na nje ya soka la Italia kwani wengi wa watu walitaka
kufahamu hatma ya kashfa hiyo iliyopewa jina la ‘Scommensiopoli’.
Tukio la pili ni timu ya taifa ya
Italia maarufu kama Azzuri kufanya maajabu kwa kufika fainali ya michuano ya
soka la Ulaya maarufu kama (Euro 2012) iliyofanyika kwa pamoja katika nchi za
Poland na Ukraine.Kufika fainali kwa Italia kulimaanisha kuwa soka la Italia
halijafa pamoja na kuwepo kwa kashfa nyingi za upangaji matokeo bali ndiyo
kwanza wataliano wanajipanga katika kuhakikisha kuwa wanaleta ushindani wa kweli
katika michuano ya kimataifa.
Leo nisingependa kuzungumzia matukio
hayo bali nijikite katika kuuangalia msimu mpya wa Serie A wa 2012/2013.Katika
msimu huu mpya klabu ya Juve itakuwa bila ya kocha wake Antonio Conte
aliyefungiwa miezi 10 kutokana na kashfa ya upangaji matokeo ya ‘Scommensiopoli’
huku vilabu vya Atalanta, Siena, Sampdoria na Torino
vikianza msimu mpya kwa kukatwa pointi moja moja kwa sababu nazo zilihusika
katika upangaji matokeo.
Tuziangalie timu shiriki katika
Serie A Msimu huu wa 2012/2013.
Msimu uliopita 2011-2012
Serie A: Nafasi ya 12
Coppa Italia: Raundi ya Tatu
Coppa Italia: Raundi ya Tatu
Walioingia: Brivio (Lecce) €2.2m, Matheu (Independiente),
Parra (Independiente), Stendardo (Lazio).
Waliotoka: Cristiano Doni (hakuwa na klabu), Mutarelli, Brighi (Roma), Carrozza (c, Verona).
Kikosi chao: (4-4-2) – Consigli; Matheu, Stendardo, Manfredini,
Peluso; Schelotto, Cigarini, Carmona, Bonaventura; Maxi Moralez, Denis.
Serie A:Nafasi ya Tisa
Coppa Italia: Raundi ya16
Coppa Italia: Raundi ya16
Walioingia: Kingsley Umunegbu (AC Milan)Cesare Natali
(Fiorentina), Tiberio Guarente (Sevilla) , Marco Motta (Juventus), Mathias Abero (Nacional Montevideo), Roger Carvalho
(Tombense), Gianluca Curci (AS Roma), Christian Pasquato (Udinese), Roberto Acquafresca (Genoa) €3.5m, Alessandro Marchi (Piacenza),
Marti Riverola (Barcelona B), Francesco Finocchio (Parma) ,
Waliotoka: Guiseppe Nazzani (AC Giacomense) loan, Riccardo Pasi (FC
Sudtirol) loan, Jaun Cruz (Carrarese) loan, Gabi Mundingayi (Inter) loan, Juan
Angel Crespo (Hellas Verona) Giacomo Venturi (Gubbio) loan, Francesco
Finocchio, (AC FeralpiSalò) loan, Jean-François Gillet (Torino)
€1.5m, Andrea Raggi (AS Monaco) free, Marco Di Vaio (Montreal Impact)
free.
Kikosi: (3-4-2-1) – Curci; Antonsson, Natali, Cherubin; Motta,
Perez, Taider, Abero; Diamanti, Ramirez; Gabbiadini.
Msimu uliopita 2011/12
Serie A: Nafasi ya 15
Coppa Italia: Raundi ya Nne
Coppa Italia: Raundi ya Nne
Walioingia: Rossettini (Siena), Sau (Juve Stabia), Avelar (Karpaty
Lviv), Camilleri (Reggina)
Waliotoka: Canini (Genoa), Giorico (Lumezzane
kikosi: (4-3-3)
- Agazzi; Pisano, Rossetini, Astori, Velar; Dessena, Conti, Nainggolan;
Sau, Pinilla, Cossu.
Msimu uliopita 2011/12
Serie A: Nafasi ya 11
Coppa Italia: Raundi ya Nne
Coppa Italia: Raundi ya Nne
Walioingia: Salifu (Fiorentina), Antenucci (Torino), Morimoto (Novara),
Doukara (Vibonese), Frison (Vicenza), Crescenzi (Bari), Antei (Grosseto),
Castro (Racing Avellaneda), Rolin (Nacional)
Waliotoka: Kosicky (Novara), Motta (mwisho wa mkopo – Juventus), Suazo
(released), Campagnolo, Maxi Lopez (Sampdoria), Wellington (Koper)
Kikosi: (4-3-3) – Frison; Alvarez, Spolli, Legrottaglie, Marchese;
Izco, Lodi, Almiron; Castro, Bergessio, Gomez.
Msimu uliopita 2011/12
Serie A: Nafasi ya 10
Coppa Italia: Robo Fainali
Coppa Italia: Robo Fainali
Walioingia: Iunco (Spezia), Papp (Vaslui), Farkas (Vaslui), Guana
(Cesena), Cofie (Genoa), Di Michele (Lecce), Rigoni (Novara), Dainelli (free),
Pucino (Varese)
Waliotoka: Hanine (Ascoli), Acerbi (Genoa), Iori (Cesena), Uribe
(Nacional), Mandelli (released), Bradley (Roma), Granoche (Padova), Farias
(Padova), Fatic (Hellas Verona), Uribe (Atlético Nacional), Iunco (Bari),
Sammarco (Spezia)..
Kikosi: (4-3-1-2) – Sorrentino; Sardo, Papp, Andreolli,
Dramè; Luciano, L. Rigoni, Hetemaj; M. Rigoni; Pellissier, Di Michele.
Msimu uliopita 2011/12
Serie A: Nafasi ya 13
Coppa Italia: Raundi ya 16
Coppa Italia: Raundi ya 16
Walioingia: Hegazy (Ismaily), El Hamdaoui (Ajax), Roncaglia (Boca
Juniors), Lupatelli (huru), Cuadrado (Udinese), Viviano (Palermo), Della Rocca
(Palermo), Fernandez (Sporting Lisbon), Borja Valero (Villarreal), Gonzalo
Rodriguez (Villarreal), Aquilani (Liverpool), Pizarro (Roma).
Waliotoka: Montolivo (Milan), Natali (Bologna), Kroldrup , Marchionni ,
Salifu (Catania), Amauri (Parma), Seculin (Juve Stabia), Agyei (Juve Stabia),
Babacar (Padova), Kharja (mkataba umesitishwa), Gamberini (Napoli), Behrami
(Napoli), De Silvestri (Sampdoria), Acosty (Juve Stabia).
Kikosi: (3-5-2) – Viviano; Roncaglia, G.Rodriguez, Nastasic;
Cuadrado, Pizarro, Borja Valero, Aquilan, Pasqual; El Hamdaoui, Jovetic.
Msimu uliopita 2011/12
Serie A: Nafasi ya 17
Coppa Italia: Raundi ya 16
Coppa Italia: Raundi ya 16
Walioingia: Immobile (Pescara), Merkel (Milan), Von Bergen (Cesena),
Lazarevic (Padova), Tozser (Genk), Polo (Universitario), Acerbi (Chievo),
Canini (Cagliari), Anselmo (Palmeiras), M. Martinez (Racing), Bertolacci (Roma)
, Velazquez (Independiente), Piscitella (Roma)
Waliotoka: Acerbi (Milan), Caracciolo (Brescia), Constant (Milan),
Palacio (Inter), Sculli mwisho wa mkopo – Lazio), Belluschi (mwisho wa mkopo –
Porto), Eduardo (Istanbul BB), Veloso (Dynamo Kiev), Cofie (Chievo), Roger de
Carvalho (Bologna), Ribas (Monaco), Alhassan (Novara).
Kikosi: (4-3-3) – Frey; Tomovic, Canini, Velazquez, Antonelli; Kucka,
Tozser, Bertolacci; Jankovic, Gilardino, Immobile.
Msimu uliopita 2011/12
Serie A: Nafasi ya Sita
Coppa Italia: Robo Fainali
Coppa Italia: Robo Fainali
Walioingia: Palacio (Inter), Bardi (Livorno), Jonathan (Parma), Coutinho
(Espanyol), Handanovic (Udinese), Silvestre (Palermo), Mudingayi (Bologna),
Cassano (Milan), Pereira (Porto), Gargano (Napoli)
Waliotoka: Zarate (Lazio), Palombo (Sampdoria), Cordoba (mwisho wa
mkataba), Orlandoni (mwisho wa mkataba), Lucio (Juventus), Forlan (a,
rescissione), Faraoni (Udinese), Alborno (Novara), Bardi (Novara), Poli
(Sampdoria), Castaignos (Twente), Pazzini (Milan)
Kikosi: (4-3-1-2) – Handanovic; Maicon, Silvestre, Samuel, Zanetti;
Guarin, Cambiasso, Gargano; Sneijder; Cassano, Milito.
Msimu wa 2011-2012
Serie A: Bingwa
Coppa Italia: Mshindi wa Pili
Coppa Italia: Mshindi wa Pili
Walioingia: Richmond Boakye (Genoa) €4m, Lucio (Inter) free,
Nicola Leali (Brescia) €3.8m, Paul Pogba (Manchester United), Kwadwo Asamoah
(Udinese) €9m, Mauricio Isla (Udinese) €9.4m, Emanuele Giaccherini (Cesena)
€4m, Sebastian Giovinco (Parma) €11m, Martin Caceres (Sevilla) €8m.
Waliotoka: Milos Krasic (Fenerbahce) €7m, Marco Motta
(Bologna)mkopo, Eljero Elia (Werder Bremen) €6.5m.
Kikosi: (3-5-2) – Buffon; Lucio, Barzagli, Chiellini; Lichtsteiner,
Vidal, Pirlo, Asamoah, Marchisio; Vucinic, Matri.
Msimu wa 2011-2012
Serie A: Nafasi ya Nne
Coppa Italia: Robo Fainali
Europa League: Raundi ya 32
Coppa Italia: Robo Fainali
Europa League: Raundi ya 32
Walioingia: Antonio Candreva (Udinese), Ederson (Lyon) huru.
Waliotoka: Javier Garrido (Norwich) mkopo.
Kikosi: (4-3-1-2) – Marchetti; Konko, Diakite, Dias, Radu; Hernanes,
Ledesma, Lulic, Ederson; Zarate, Klose.
AC Milan
Msimu 2011-2012 Serie A: Mshindi wa Pili
Coppa Italia: Nusu Fainali
Champions League: Robo Fainali
Walioingia: Cristian Zapata (Villarreal) loan, Francesco Acerbi (Genoa) €4m, Kevin Constant (GenoaM) mkopo, Riccardo Montolivo (Fiorentina) huru, Sulley Muntari (Inter) huru.
Waliotoka: Zlatan Ibrahimovic (Paris Saint-Germain) €23m, Thiago Silva (Paris Saint-Germain) €42m, Alessandro Nesta (Montreal Impact) free, Gennaro Gattuso (Sion) free, Mark van Bommel (PSV Eindhoven) free.
Kikosi: (4-3-1-2) – Abbiati; Abate, Mexes, Zapata, Antonini; Montolivo, Ambrosini, Nocerino; Boateng; Pato, Pazzini.
Napoli
Msimu uliopita 2011-2012 Serie A: Nafasi ya Tano
Coppa Italia: Bingwa
Champions League: Raundi ya 16
Walioingia: Alessandro Gamberini (Fiorentina) €2m, Valon Behrami (Fiorentina) €8m, Goran Pandev (Inter) €7.5m.
Waliotoka: Ezequiel Lavezzi (Paris Saint-Germain) €26m, Fabio Santacroce (Parma), Luca Cigarini (Atalanta), Mario Santana (Torino) , Ignacio Fideleff (Parma).
- .
Palermo
Msimu uliopita 2011-2012 Serie A: Nafasi ya 16
Coppa Italia: Raundi ya 16
Europa League: Hatua ya awali
Walioingia: Egidio Arevalo (Tijuana) €2.8m, Paulo Dybala (Instituto Cordoba) €12m, Michel Morganella (Novara), Samir Ujkani (Novara), Franco Brienza (Siena) €1.3m, Nicolas Viola (Reggina), Sebastian Sosa (Cerro Largo) €2m, Steve von Bergen (Genoa).
Waliotoka: Federico Balzaretti (Roma) €5m, Alexandros Tzorvas (Genoa), Edgar Alvarez (Dinamo Bucharest), Emiliano Viviano (Fiorentina), Francesco Della Rocca (Fiorentina) loan, Afriyie Acquah (Parma), Armin Bacinovic (Hellas Verona), Matteo Darmian (Torino) €0.85m, Matias Silvestre (Inter), Mauricio Pinilla (Cagliari) €3.2m, Mattia Cassani (Fiorentina) €3.5m..
Kikosi: (4-4-2) – Ujkani; Pisano, Munoz, Cetto, Mantovani, Bertolo, Rios, Donati, Brienza; Miccoli, Hernandez.
Parma
Msimu uliopita 2011-2012 Serie A: Nafasi ya 8
Coppa Italia: Raundi ya Nne
Walioingia: Yohan Benalouane (Cesena) , Stefano Okaka (Roma), Aleandro Rosi (Roma) free, Emilio MacEachen (Penarol), Afriyie Acquah (Palermo), Ignacio Fideleff (Napoli) , Marco Parolo (Cesena), Fabiano Santacroce (Napoli), Gianluca Musacci (Empoli) €0.5m, Jonathan Biabiany (Sampdoria) €3.5m, Amauri (Fiorentina), Ishak Belfodil (Lyon) €2.5, Dorlan Pabon (Nacional) €4m, Jaime Valdes (Sporting) €1.8m, Sotiris Ninis (Panathinaikos).
Waliotoka: Sebastian Giovinco (Juventus) €11m, Stefano Okaka (Spezia) loan, Francesco Valiani (Siena), Paolo Hernan Dellafiore (Siena), Rolf Feltscher (Padova) loan, Goncalo Brandao (Cesena) loan.
Kikosi: (3-5-2) – Mirante; Maceacheni, Paletta, Lucarelli; Biabiany, Parolo, Valdes, Galloppa, Gobbi; Pabon, Amauri.
Pescara
Msimu uliopita 2011-2012 Serie B: Bingwa
Coppa Italia: Raundi ya Pili
Walioingia: Abbruscato (Vicenza), Colucci (Cesena), Bjarnason (Standard Liege), Elyounoussi (Fredrikstad), Cosic (CSKA Moscow), Munoz (Colo Colo), Celik (Gais) €790.000, Chiaretti (Taranto), Quintero (Atletico Nacional) , Weiss (Manchester City) €2m, Crescenzi (Roma), Terlizzi (Varese) €220.000, Jonathas (Brescia), Vukusic (Hajduk Split) €2.6m
Waliotoka: Immobile (Genoa) , Insigne (Napoli), Sansovini (Spezia) free transfer, Giacomelli (Vicenza), Gessa (Cesena), Verratti (Paris Saint Germain) €12m, Ragni (Nocerina) free transfer
Kikosi: (4-2-3-1) – Perin; Zanon, Capuano, Terlizzi, Crescenzi; Collucci, Blasi; Celik, Bjanarson, Weiss; Abbruscato
Roma
Msimu uliopita 2011-2012 Serie A: Nafasi ya Saba
Coppa Italia: Robo Fainali
Walioingia: D’Alessandro (Verona) €88.000, Florenzi (Crotone) end of loan, Dodò (Corinthians) huru , Stoian (Bari) €880.000, Svedkauskas (Suduva), Lucca (Internacional) €700.000, Tachtsidis (Verona) €2.5m, Bradley (Chievo Verona) €3.3m, Destro (Siena) €11.5m l, Castan (Corinthians) €4.4m, Balzaretti (Palermo) €3.9m, Piris (Deportivo Maldonado) , Marquinhos (Corinthians)
Waliotoka: Cassetti (Watford), Cicinho (Sport Recife) , Antunes (Pacos de Ferreira) , Viviani (Padova), Gago (Real Madrid), Borini (Liverpool) €13.3m, Curci (Bologna) loan, Juan (Internacional), Bertolacci (Genoa), Greco (Olympiakos) €750.000, Piscitella (Genoa) €1.3m, José Angel (Real Sociedad), Rosi (Parma), Pizarro (Fiorentina), Heinze (Newell’s Old Boys), Brighi (Torino), Okaka (Parma).
Vikosi: (4-3-3) – Stekelenburg; Piris, Burdisso, Castan, Balzaretti; Bradley, De Rossi, Pjanic; Lamela, Destro, Totti.
Sampdoria
Msimu uliopia 2011-2012 Serie B: Nafasi ya Sita
Coppa Italia: Raundi ya Tatu
Walioingia: Tissone (Mallorca), Corazza (Portogruaro), Maxi Lopez (Catania) €2.2m, De Silvestri (Fiorentina) €220.000, Poli (Inter) mwisho wa mkopo, Estigarribia (Juventus) €600.000
Waliotoka: Foggia (Lazio) , Pellè (Parma), Celjak (Grosseto) loan, Zaza (Ascoli), Piovaccari (Novara) , Fornaroli (Boston River) huru, Signori (c, Modena), Fiorillo (p, Livorno), Gentsoglou (c, Livorno)
Kikosi: (4-3-3) – Romero; De Silvestre, Rossini, Gastaldello, Costa; Munari, Poli, Obiang; Estigarribia, Maxi Lopez, Eder.
!
Siena
Msimu uliopia 2011-2012 Serie A: Nafasi ya 14
Coppa Italia: Raundi ya Nne
Waliongia: Dellafiore (Parma), Rubin (Torino), Valiani (Parma), Paci (Novara), Campagnolo (Catania) huru, Novo Neto (Nacional Funchal) €1.5, Felipe (d, Fiorentina) mkopo, Martinez (Racing Club) mkopo
Waliotoka: Rossettini (Cagliari) €1.3m, Brienza (Palermo) €1.1, Codrea (Rapid Bucharest) huru, Brkic (Udinese) , Gazzi (Torino) €2.2m, Pesoli (Siena), Del Prete (Novara), Destro (Roma) €11.5m
Kikosi: (3-5-2) – Pegolo; Neto, Felipe, Paci; Valiani, R.Rodriguez, Vergassola, D’Agostino, Rubin; Bogdani, Calaiò.
Torino
Msimu uliopita 2011-2012 Serie B: Nafasi ya Pili
Coppa Italia: Raundi ya Tatu
Walioingia: Gillet (Bologna) €1.5, Sansone (Sassuolo) €1.4, Santana (Napoli) mkopo, Gazzi (Siena) €2.2m, Rodriguez (Cesena), Brighi (Roma) mkopo, Cerci (Fiorentina) €2.5m
Waliotoka: Antenucci (Catania) €975.000, Ebagua (Varese) , Rubin (Siena), Gasbarroni , Pratali (Empoli) , Surraco (Modena)
Kikosi: (4-2-4) – Gilleti; Darmian, Gilk, Ogbonna, Masiello; Brighi, Gazzi; Sansone, Bianchi, Meggiorini, Santana.
Udinese
Msimu uliopita 2011-2012 Serie A: Nafasi ya Tatu
Coppa Italia: Raundi ya 16
Walioingia: Brkic (Siena) mwisho wa mkopo, Gabriel Silva (Novara) mwisho wa mkopo, Willians (Flamengo) €2.6m, Allan Marques (Vasco da Gama) €2.6m, Thomas Heurtaux (Caen) €1.8m, Wojciech Pawowski (pLechia) €440.000m, Pasquato (Juventus) €1.3m, Muriel (Lecce) , Machis (Mineros de Guayana), Faraoni (Inter) €2.6m, Maicosuel (Botafogo) €4.6m
0 comments:
Post a Comment