Quintel Blogger theme

A free Premium Blogger theme from newbloggerthemes.com

Saturday, August 25, 2012

FREDDIE LJUNGBERG ASTAAFU SOKA

 
 Kiungo wa zamani wa Arsenal na timu ya taifa ya Sweeden Freddie Ljungberg ametangaza kuachana  na soka akiwa na umri wa miaka 35. Akiwa hana timu tangu avuje  mkataba  na timu yake ya Japan Shemizu S- Pulse kwa makubaliano yaliyokuwa na tijja kila upande.Ljungberg aliichezea Arsenal kwa mafanikio makubwa alijiunga mwaka 1998 na alifunga goli lake la kwanza zidi ya Manchester United. Moja kati ya mafanikio ambayo mashabiki waArsenal hawatomsahau ni kuweza kuisadia kuweka historia ya kuchukua ubngwa wa premier ya Uingereza bila ya kuppoteza mchezo hata mmoja msimu wa 2003/2004. Fredidie Ljungberg amekwisha ichezea Asrsenal jumla ya michezo 328 na kueweka nyavuni jumla ya magoli 72.Ljungberg alishachakua mataji kadhaa na Arsenal ambayo ni pamoja na ligi kuu ya premier ya Uingereza 1 na kombe la FA 3


  Kwa upande wa timu ya taifa alikuwa nahodha wa Sweeden mpaka alipotangaza kustaafu soka ya kimataifa mara tu baada ya UEFA EURO 2008. Mpaka alipostaafu timu ya taiafa alikuwa tayari ameshaichezea jumla ya michezo  75 na kufunga mabao 14 kabla ya jana kutangaza kustaafu soka kwa ujumla.

0 comments:

Post a Comment