Quintel Blogger theme

A free Premium Blogger theme from newbloggerthemes.com

Tuesday, August 21, 2012

EVERTON KUNANIFAA NA SIYO ARSENAL

Mchezaji mpya wa klabu ya Everton ya nchini Uingereza Kevin Mirallas amekataa kujiunga na klabu ya Arsenal kwa madai kuwa akienda Arsenal hatopata nafasi ya kucheza mara kwa mara.

0 comments:

Post a Comment