Didier Drogba alitua kwenye uwanja mazoezi wa Chelsea huku kila mchezaji akiwa haamini kama ni yeye. Alipoulizwa na waandishi kuwa uiliahidi kutembela Chelsea ila sio mapema kiasi hiki akasema" ni kweli lakini kule China kuna mapunziko sasa na kuna mechi za kimataifa zinakuja kwa hiyo nimekuja kutembelea rafiki zangu na pia usisahau kuwa familia yangu bado iko hapa".
,
0 comments:
Post a Comment