Kocha mkuu wa Brazili Mano Menezes ametangaza kikosi ambacho kinatarajia kucheza mchezo wa kirafiki na na timu ya taifa ya Afrika ya kusini Bafanabafana itakayofanyika tarehe 7/9/2012 kwenye uwanja wa Estadio Do Morumbi jijini Sao Paolo Brazil. Kikosi hicho ni kima kifuatacho.
Makipa.
Jefferson( Botafogo),Diego Alves (Valencia/ESP) Cassio(Corithianns/BRA)
Mabeki.
Alex Sandro (Porto/POR), Marcelo
(Real Madrid/ESP), Daniel Alves (Barcelona/ESP), Adriano (Barcelona/ESP),
Thiago Silva (PSG/FRA), David Luiz (Chelsea/ENG), Rever (Atletico Mineiro),
Dede (Vasco).
Viunngo.
Sandro (Tottenham, ENG), Lucas (Sao
Paulo), Romulo (Spartak Moscow/RUS), Ramires (Chelsea/ENG), Paulinho
(Corinthians), Oscar (Chelsea/ENG), Arouca (Santos).
Washambuliaji.
Leandro Damiao (Internacional),
Neymar (Santos), Jonas (Valencia/ESP), Hulk (Porto/POR)
0 comments:
Post a Comment