Huku kukiwa na habari za kuhamia klabu ya F.C.Barcelona,kiungo wa klabu ya Arsenal Alex Song ameachwa katika kikosi kitakachoikabili Sunderland leo katika uwanja wa Emirates.
Vikosi vya mechi ya Arsenal vs Sunderland ni kama ifuatavyo:
Arsenal
(squad): Szczesny, Jenkinson, Vermaelen, Mertesacker, Gibbs, Song,
Arteta, Cazorla, Gervinho, Podolski, Walcott, Fabianski, Santos, Diaby,
Rosicky, Ramsey, Coquelin, Arshavin, Giroud.
Sunderland
(squad): Westwood, Mignolet, Cattermole, Larsson, Gardner, Campbell,
Wickham, Richardson, Kilgallon, Colback, O’Shea, Ji, Meyler, Bramble,
McClean, Elmohamady, Saha, Cuellar.
Saturday, August 18, 2012
BREAKING NEEEEEEEEWS: SONG AACHWA KATIKA KIKOSI KITAKACHOIKABILI SUNDERLAND LEO
Posted on 7:11 AM by Unknown
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment