Kutokana na tukio hilo Santo anaweza kukumbwa na adhabu ya kwenda jela miaka miwili.Kesi yake itaanza kuunguruma mwezi ujao na wakati huohuo gari aliyokuwa akiitumia ya Maserati GranTurismonayo imekamatwa na ipo katika uchunguzi maalum.
Wednesday, August 22, 2012
BEKI WA ARSENAL ASHIKILIWA NA POLISI KWA KOSA LA KUENDESHA GARI KWA KASI
Posted on 1:37 PM by Unknown
Beki wa Arsenal Andre Santo anaweza kupelekwa jela kwa makosa mawili.Kwanza ni kwa kosa la kuendesha gari kwa mwendo wa kasi na pili kwa kosa la kuwakimbia askari wa usalama barabarani wakati akitokea katika uwanja wa mazoezi wa Arsenal unaoitwa the Gunners’ London Colney training ground.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment