ANDERSON |
Akiingia dakika tano kabla ya filimbi ya mwisho ya mwamuzi katika mechi ya ufunguzi wa msimu mpya baina ya Manchester utd na Everton nyuma ya jezi yake kulikuwa na namba 8 na jina Andesron badala ya Anderson.Hii sio mara ya kwanza kwa mtengeneza jezi ya Manchester kufanya kituko kama hiki kwani matukio kama haya yalishawakumba wachezaji kama vile Beckam badala ya Beckham,John S'hea badala ya John O'shea,Solskjaer badala ya Solksjaer na Tomas Zuszczak badala ya Kuszczak.
0 comments:
Post a Comment