![]() |
Messi akifunga goli dhidi ya Osasuna |
Mshambuliaji wa klabu ya Barcelona Leonel Messi amezidi kuipaisha klabu yake ya Barcelona mara baada ya kuifungia mara mbili katika ushindi dhidi ya klabu ya Osasuna katika mwendelezo wa Ligi Kuu ya soka nchini Hisapania maarufu kama Primera La Liga.Barca ilishinda magoli 2-1.
![]() |
Messi akiwa na wachezaji wa Osasuna |
0 comments:
Post a Comment