![]() |
Pazzin akiwa haamini kilichotokea San Siro baada ya kufungwa na Sampdoria |
Wakipanda daraja mara baada ya kipindi cha takribani miaka miwili,klabu ya Sampdoria imeiduwaza klabu ya Ac Milan kwa kuipa kichapo ndani ya uwanja wa nyumbani wa Milan San Siro.Sampdoria ilipata ushindi wa goli moja lilofungwa na kiungo Andrea Costa na kuifanya klabu hiyo kuondoka na pointi tatu muhimu.
![]() | |
Kocha Ciro Ferrara akishangilia ushindi wa timu yake dhidi ya Ac Milan |
![]() |
Flamini,Pazzin,Boateng katika harakati uwanjani |
0 comments:
Post a Comment