Rais wa Napoli akiwatambulisha wachezaji Inler na Fernandez
Likiwa ni wazo la Rais wa Napoli Aurelio Di Laurentiis,hatimaye chama cha soka nchini Italia FIGC lakubali ombi la vilabu vya Italia kuwa na wachezaji 12 katika benchi baada ya ya wale 11 wa uwanjani.Idadi hiyo itafanya vilabu kuwa na wachezaji 23 katika mechi moja.
0 comments:
Post a Comment