Klabu ya A

rsenal imelazimishwa sare na klabu ya Southampton katika mwendelezo wa Ligi Kuu ya so soka nchni England.Pambano hilo lililopigwa katika uwanja wa St.Marys lilishuhudia timu hizo zikigawana pointi moja moja mara baada ya kutoka sare ya kufungana goli 1-1.Southampton walikuwa wa kwanza kupata goli kupitia kwa kiungo wao Gaston Ramirez kabla ya mchezaji Guly Do Prado kujifunga mwenyewe kwa upande wa Southampton.Mpaka mwisho wa mchezo Southampton 1-1 Arsenal.
0 comments:
Post a Comment