Quintel Blogger theme

A free Premium Blogger theme from newbloggerthemes.com

Monday, November 12, 2012

TERRY KUWA NJE WIKI MBILI

Beki wa kutumainiwa wa klabu ya Chelsea John Terry atakosekana kwa muda wa wiki mbili mara baada ya kupata majeraha ya goti katika mechi ya Ligi Kuu ya soka nchini England dhidi ya timu ya Liverpool.Katika mechi hiyo Terry ndiye alikuwa ni mfungaji wa goli la Chelsea ila alitolewa mara baada ya kuumia na hivyo kutoweza kumaliza mchezo dhidi ya Liverpool.

0 comments:

Post a Comment