
Kocha wa klabu ya soka ya Atletico De Madrid Diego Semeone anasema kuwa wachezaji nyota ulimwenguni Lionel Messi na Cristiano Ronaldo wanalindwa sana kuliko wachezaji wake wa Atletico Madrid hususani mshambuliaji Radamel Falcao Garcia.Semeone anasema kuwa "sipendi sana kuwazungumzia marefa ila inapobidi lazima nifanye hivyo, ukiwagusa Messi na Ronaldo ni faulo ila ukimgusa Falcao inakuwa habari ya kawaida tu"anasema kocha wa Atletico Madrid Diego Semeone.
0 comments:
Post a Comment