Quintel Blogger theme

A free Premium Blogger theme from newbloggerthemes.com

Monday, October 15, 2012

BLATTER: USHINDANI WA MESSI NA RONALDO UNALETA LADHA KATIKA SOKA

Sepp Blatter
Rais wa shirikisho la soka duniani Sepp Blatter amesema kuwa ushindani uliopo kati ya Messi na Ronaldo unaufanya mchezo wa soka kuzidi kupendwa na watu wengi.Akizungumzia wachezaji hao Blatter anasema kuwa,"wachezaji hawa wawili wanauchezaji tofauti ingawa wanashabihiana kwa kufunga magoli mengi kwa msimu".Uchezaji wao kwa kiasi kikubwa unaleta ushindani wa nani wa kutwaa uchezaji bora wa dunia na hivyo kuwafanya kuwa katika mchuano mkali wa mchezaji bora wa dunia msimu huu ingawa pia mchezaji wa Barcelona kiungo Andres Iniesta naye akipewa chapuo la kutwaa uchezaji bora kuokana na mchango wake katika timu ya taifa ya Hispania na klabu yake ya Barcelona.

0 comments:

Post a Comment