| Raul akiwa na uzi mpya wa klabu ya Fenerbache |
Raul Mereiles wakati wake mzuri katika jezi ya Chelsea lazima itakuwa msimu uliopita pale walipoilazimisha Barcelona kutoka sare ya kufungana mabao 2-2 katika mashindano ya Klabu bingwa barani Ulaya pale Stanford Bridge na hakuonekana chaguo la kwanza la kocha Di matteo baada ya Andre Villas Boas kufukuzwa kazi hapo Chelsea.
| Raul Meireles akiwa kazini |

0 comments:
Post a Comment