Ni goli ambalo sio Giroud pekee aliyekuwa analisubiri kwa hamu bali hata mashabiki na wadau wengine wa soka kwani waliamini atafungua akaunti ya magoli muda wowote.Mchezo wa Capital one maarufu kama kombe la ligi na dakika ya 39 utaendelea kuwa mchezo na dakika muhimu kwa Giroud kwani alifanya kile alichoshindwa kukifanya kwa takribani michezo 6.Baada ya mchezo na goli hilo kocha wa Arsenal Arsene Wenger alisema ilikuwa kwenye akili ya kila mtu kwamba akifunga mapema itakuwa vizuri"anendelea anasema na ilikuwa zaidi kwenye akili yake pengine kuliko mtu mwingine na hatimaye amefunga goli zuri na kuonyesha ni mmaliziaji mzuri".Olivier Giroud mfungaji bora wa Montpellier na ligi kuu ya Ufaransa maarufu kama France Ligue 1 au Le championnat msimu uliopita aliigharimu Arsenal kiasi cha £12.
Thursday, September 27, 2012
OLIVIER GIROUD BHAAAS!!!!.baada ya dakika 354 aifungia Arsenal goli la kwanza
Posted on 3:42 AM by Unknown
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment