Wakicheza chini ya kocha mpya Michael Laudrup,Swansea wameendelea na maajabu yao katika EPL baada ya kuwafunga QPR magoli 5 kwa bila.Cha kufurahisha ni kuwa klabu ya Swansea iliweza kupiga mashuti 11 kwa ujumla huku mashuti 6 tu yakilenga golini(shots on target) lakini wakafunga magoli 5.
Hao ndiyo Swanselona na siyo Swansea City
Saturday, August 18, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment