 |
Mbwana Sammata na Mputu |
Klabu ya TP Mazembe itavaana na klabu ya Zamalek ukiwa ni mchezo wa kundi B katika klabu bingwa Afrika.Katika timu ya TP Mazembe iliyosafiri kwenda Misri yumo pia mtanzania Mbwana Sammata.
wachezaji wa TP Mazembe wakitoka mazoezini
0 comments:
Post a Comment