![]() |
Hazard akikwepa kwanja la Perch wa Newcastle. Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Chelsea Eden Hazard amezidi kuonesha makali yake katikaLigi Kuu ya soka nchini Uingereza baada ya kuisaidia klabu hiyo ya darajani kuifunga Newcastle magoli 2-0.Magoli ya Chelsea yalifungwa na Fernando Torres na Eden Hazard |
Saturday, August 25, 2012
HAZARD AZIDI KUNGA'AA CHELSEA
Posted on 11:38 PM by Unknown
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment