Tuesday, August 14, 2012
BREAKING NEEEEEEEEWS - ARSENAL KUMUACHIA VAN PERSIE KUJIUNGA NA MAN UNITED
Posted on 6:52 AM by Unknown
Habari zilizopatikana hivi punde kutoka katika gazeti la The Sun
(Uingereza) zinataarifu kuwa klabu ya Arsenal hatimaye imekubali
kuzungumza na klabu ya Man United kwa ajili ya uhamisho wa Mshambuliaji
Robin Van Persie kwenda Man Utd kwa ada ya Euro Mil. 22. Tutaendelea
kuwafahamisha kila habari mpya kuhusu mshambuliaji huyo wa Arsenal pindi
zitakapotufikia.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment