Quintel Blogger theme

A free Premium Blogger theme from newbloggerthemes.com

Monday, August 20, 2012

BARCA YAFANYA MAUAJI HUKU MESSI AKITUPIA MBILI

Klabu ya Barcelona ilianza vyema harakati za kuchukua Ligi ya Hispania maarufu kama La Liga baada ya kuifunga timu ya Real Sociedad kwa magoli 5-1. Magoli ya Barca yalifungwa na Puyol dk 4.Messi dk 11,16 huku wafungaji wengine wakiwa ni Pedro dk ya 41 na David Villa dk ya 81 ambaye alicheza mechi yake ya kwanza ya La Liga baada ya kipindi kisichopungua miezi nane.

0 comments:

Post a Comment