Monday, August 27, 2012
AZAM YAMUACHA MOSES ODHIAMBO "Blackberry"
Posted on 11:23 AM by Unknown
Timu ya soka ya Azam ya imeamua kuachana na mchezaji raia wa Kenya Moses "Blackberry"Odhiambo Ogutu kutokana na utovu wa nidhamu,Mchezaji huyo aliyetokea klabu ya Randers ya nchini Denmark ameachwa na klabu ya Azam kutokana na utovu wa nidhamu ambao unahusishwa na Odhiambo kutohudhuria mazoezi katika klabu hiyo kwa muda wa siku nne.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment